Mafunzo kwa kamati za Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto za halmashauri ya mkoa wa Pwani kuanzia 30 hadi 31 Mei, 2024. Mafunzo hayo yalifunguliwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dr. Benedicto Ngaiza yamelenga wajumbe wa kamati kuelewa zaidi kuhusu sayansi ya malezi kwa watoto na Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.




